Welcome to Gilgal Ministries International

Welcome to Gilgal Ministries International

The name Gilgal arose from a prophetic message that God spoke to the church on 29th December, 2002 when we were moving by faith from a rented hall in the city centre to a new premise where we had just begun the construction of our own church building. The area was at the city outskirts. The hope for success in some people’s hearts had been significantly lowered. It was during that time when God reminded Pastor Sentozi on how God commanded Joshua to lead the Israelites across the flooding river Jordan. After miraculously crossing the river, they camped at a place called Gilgal. God said clearly “The name of the Church shall be called Gilgal”

Thursday 3 October 2013

KARIBU KATIKA MWENDELEZO WA ZIARA YA ASKOFU MKUU KIONGOZI WA KANISA LA GILGAL CHRISTIAN MINISTRIES INTERNATIONAL , NDANI YA MKOA WA DAR-ES-SALAAM ZIARA AMBAYO ASKOFU ALIAMBATA NA UONGOZI MZIMA WA HUDUMA HII. HUDUMA HII INAMUDA MFUPI SANA NDANI YA MIAKA MITATU NA MPAKA SASA INA MAKANISA YA SIO PUNGUA THERATHINI NA TATU (33) HILI NI KANISA LA KINYEREZI LILILOKO DAR-ES-SALAAM CHINI YA UANGALIZI WA MCHUNGAJI OSCAR JEREMIAH/WELCOME TO THE CONTINUTY OF VISITATION WHICH WAS DONE BY THE OVERSEER OF THE GILGAL CHRISTIAN MINISTRIES INTERNATIONAL BISHOP ELIAB SENTOZI, PHOTO ON THIS PAGE ARE THE PICTURES TAKEN AT THE GILGAL KINYEREZI CHURCH. THIS GILGAL MINISTRY IS A MINISTRY WHICH IS GROWING VERY FAST AND BY THE GRACE OF GOD. THE MINISTRY IS THREE(3) YEARS OLD AND WITH LESS THAN THIRTY THREE (33) CHURCHES ALL OVER THE NATION, STAY BLESSED AS YOU JOIN ME DURING THIS GREAT VISITATION AROUND THE NATION

WATUMISHI WA MUNGU WAKIWA NDANI YA KANISA LA  GILGAL CHRISTIAN MINISTRIES INTERNATIONAL (KINYEREZI) AMBALO LINACHUNGWA NA MCHUNGAJI OSCAR JEREMIAH  KUSHOTO AKIWAKARIBISHA WATUMISHI WALIKUWA WAPO KATIKA ZIARA YA ASKOFU KIONGOZI/BISHOPS AND PASTORS INSIDE GILGAL CHRISTIAN MINISTRIES INETRNATIONAL (KINYEREZI CHURCH ) WHICH IS UNDER PASTOR OSCAR JEREMIAH  AS HE WELCOMES THE TEAM WHICH WAS WITH THE OVERSEER BISHOP ELIAB SENTOZI

ASKOFU WA JIMBO LA MWANZA ASKOFU AMOS LUKUMAY AMABYE PIA NI MCHUNGAJI WA KANISA LA GILGAL CHRISTIAN MINISTRIES INTERNATIONAL (IGOMA CHURCH)/ BISHOP OF THE MWANZA REGION BISHOP AMOS LUKUMAY WHO IS ALSO A PASTOR  AT GILGAL CHRISTIAN MINISTRIES INTERNATIONAL (IGOMA CHURCH).

KATIBU MKUU KUSHOTO AMBAYE PIA NI MCHUNGAJI WA KANISA LA GILGALCHRISTIAN MINISTRIES INETRNATIONAL (GEITA CHURCH) PAMOJA NA ASKOFU MKUU  ELIAB SENTOZI AMABYE PIA NI MCHUNGAJI WA KANISA LA GILGAL CHRISTIAN MINISTRIES INTERNATIONAL MAKAO MAKUU (PASIANSI CHURCH)/SECRETARY GENERAL LEFT WHO IS ALSO A PASTOR AT GILGAL CHRISTIAN MINISTRIES INETRNATIONAL (GEITA CHURCH) TOGETHER WITH THE OVERSEER  BISHOP ELIAB SENTOZI WHO IS ALSO A PASTOR  AT GILGAL CHRISTIAN MINISTRIES INTERNATIONAL HEADQUARTERS (PASIANSI CHURCH).

 ASKOFU MKUU  ELIAB SENTOZI AMABYE PIA NI MCHUNGAJI WA KANISA LA GILGAL CHRISTIAN MINISTRIES INTERNATIONAL MAKAO MAKUU (PASIANSI CHURCH)/ THE OVERSEER  BISHOP ELIAB SENTOZI WHO IS ALSO A PASTOR  AT GILGAL CHRISTIAN MINISTRIES INTERNATIONAL HEADQUARTERS (PASIANSI CHURCH).

HAWA NI BAADHI YA VIONGOZI WALIOKO NDANI YA KANISA LA GILGAL KINYEREZI DAR-ES-SALAAM/ HERE ARE SOME OF THE LEADERS AT GILGAL KINYERZI CHURCH DAR-ES-SALAAM.

HILI NDILO KANISA LA GILGAL KINYEREZI DAR-ES-SALAAM/ THIS IS THE CHURCH  AT GILGAL  KINYEREZI  DAR-ES-SALAAM

No comments:

Post a Comment