Welcome to Gilgal Ministries International

Welcome to Gilgal Ministries International

The name Gilgal arose from a prophetic message that God spoke to the church on 29th December, 2002 when we were moving by faith from a rented hall in the city centre to a new premise where we had just begun the construction of our own church building. The area was at the city outskirts. The hope for success in some people’s hearts had been significantly lowered. It was during that time when God reminded Pastor Sentozi on how God commanded Joshua to lead the Israelites across the flooding river Jordan. After miraculously crossing the river, they camped at a place called Gilgal. God said clearly “The name of the Church shall be called Gilgal”

Thursday, 3 October 2013

MWENDELEZO WA ZIARA YA ASKOFU KIONGOZI ELIAB SENTOZI NDANI YA KMOA WA DAR-ES-SALAAM/ CONTINUTY OF THE VISITATION OF THE OVERSEER BISHOP ELIABA SENTOZI IN DAR-ES-SALAAM REGION.






JOPO NZIMA LA MAASKOFU PAMOJA NA WACHUNGAJI WAKIPATA CHAKULA CHA MCHANA KWA PAMOJA / BISHOPS AND PASTORS HAVING LUNCH TOGETHER


MZEE HUYU BILA SHAKA ALIKUWA AKITAFAKARI MAKUU YA BWANA BADA YA KUPATA CHAKULA CHA MCHANA PAMOJA NA ASKOFU  KIONGOZI JAMBO AMBALO NI LAKIPEKEE SANA, KUKAA MEZA MOJA NA WAPAKWA MAFUTA WA BWANA SIO MCHEZO/ AUTOMATICALL THIS MAN IS THING OF THE GRACE GOD HAS GIVEN HIM TO EAT AT THE SAME TABLE WITH OVERSEER BISHOP ELIAB SENTOZI  AND HAVE LUNCH TOGETHER.





KWAYA YA KANISA LA GILGAL KINYEREZI DAR-ES SALAAM/ GILGAL CHURCH CHOIR AT KINYEREZI CHURCH

KWAYA YA KANISA LA GILGAL KINYEREZI DAR-ES SALAAM/ GILGAL CHURCH CHOIR AT KINYEREZI CHURCH

WATUMISHI WAKIWA KWENYE MAOMBI NDANI YA KANISA LA GILGAL KINYEREZI/ MINISTERS IN PRAYERS AT GILGAL KINYEREZI CHURCH


WASHIRIKA WAKIWA KWENYE MAOMBI NDANI YA KANISA LA GILGAL KINYEREZI/WORSHIPERS  IN PRAYERS AT GILGAL KINYEREZI CHURCH






aSKOFU KIONGOZI ELIAB SENTOZI AKIZUNGUMZA NA KANISA LA  KINYEREZI/ THE OVERSEER BISHOP ELIAB SENTOZI ADRESSING THE CONGREGATION






BAADA YA KUTOKA KINYEREZI JOPO NZIMA LILIELEKEA KIMARA KATIKA KANISA LA GILGAL CHRISTIAN MINISTRIES INTERNATIONAL KIMARA AMBALO LIKO CHINI YA UONGOZI WAKE MCHUNGAJI DENIS/ AFTER LEAVING THE CHURCH AT KINYEREZI THE TEAM HEADED TO GILGAL CHRISTIAN MINISTRIES INTERNATIONAL AT KIMARA WHICH IS UNDER PASTOR DENIS



JOPO NZIMA LILIFIKIA NYUMBANI KWA MCHUNGAJI DENIS WALIPOPOKELEAWA NA WAUMINI PAMOJA NA FANILIA YA MCHUNGAJI DENIS/THE WHOLE TEAM WAS WELCOMED BY THE CONGREGATION MEMBER TOGETHER WITH THE FAMILY  OF PASTOR DENIS AT  THERE HOME

MCHUNGAJI DENIS PAMOJA NA MKEWE WAKIWA NYUMBANI KWAO/ PASTOR DENIS TOTHER WITH HIMS WIFE AT THERE HOME

KARIBU KATIKA MWENDELEZO WA ZIARA YA ASKOFU MKUU KIONGOZI WA KANISA LA GILGAL CHRISTIAN MINISTRIES INTERNATIONAL , NDANI YA MKOA WA DAR-ES-SALAAM ZIARA AMBAYO ASKOFU ALIAMBATA NA UONGOZI MZIMA WA HUDUMA HII. HUDUMA HII INAMUDA MFUPI SANA NDANI YA MIAKA MITATU NA MPAKA SASA INA MAKANISA YA SIO PUNGUA THERATHINI NA TATU (33) HILI NI KANISA LA KINYEREZI LILILOKO DAR-ES-SALAAM CHINI YA UANGALIZI WA MCHUNGAJI OSCAR JEREMIAH/WELCOME TO THE CONTINUTY OF VISITATION WHICH WAS DONE BY THE OVERSEER OF THE GILGAL CHRISTIAN MINISTRIES INTERNATIONAL BISHOP ELIAB SENTOZI, PHOTO ON THIS PAGE ARE THE PICTURES TAKEN AT THE GILGAL KINYEREZI CHURCH. THIS GILGAL MINISTRY IS A MINISTRY WHICH IS GROWING VERY FAST AND BY THE GRACE OF GOD. THE MINISTRY IS THREE(3) YEARS OLD AND WITH LESS THAN THIRTY THREE (33) CHURCHES ALL OVER THE NATION, STAY BLESSED AS YOU JOIN ME DURING THIS GREAT VISITATION AROUND THE NATION

WATUMISHI WA MUNGU WAKIWA NDANI YA KANISA LA  GILGAL CHRISTIAN MINISTRIES INTERNATIONAL (KINYEREZI) AMBALO LINACHUNGWA NA MCHUNGAJI OSCAR JEREMIAH  KUSHOTO AKIWAKARIBISHA WATUMISHI WALIKUWA WAPO KATIKA ZIARA YA ASKOFU KIONGOZI/BISHOPS AND PASTORS INSIDE GILGAL CHRISTIAN MINISTRIES INETRNATIONAL (KINYEREZI CHURCH ) WHICH IS UNDER PASTOR OSCAR JEREMIAH  AS HE WELCOMES THE TEAM WHICH WAS WITH THE OVERSEER BISHOP ELIAB SENTOZI

ASKOFU WA JIMBO LA MWANZA ASKOFU AMOS LUKUMAY AMABYE PIA NI MCHUNGAJI WA KANISA LA GILGAL CHRISTIAN MINISTRIES INTERNATIONAL (IGOMA CHURCH)/ BISHOP OF THE MWANZA REGION BISHOP AMOS LUKUMAY WHO IS ALSO A PASTOR  AT GILGAL CHRISTIAN MINISTRIES INTERNATIONAL (IGOMA CHURCH).

KATIBU MKUU KUSHOTO AMBAYE PIA NI MCHUNGAJI WA KANISA LA GILGALCHRISTIAN MINISTRIES INETRNATIONAL (GEITA CHURCH) PAMOJA NA ASKOFU MKUU  ELIAB SENTOZI AMABYE PIA NI MCHUNGAJI WA KANISA LA GILGAL CHRISTIAN MINISTRIES INTERNATIONAL MAKAO MAKUU (PASIANSI CHURCH)/SECRETARY GENERAL LEFT WHO IS ALSO A PASTOR AT GILGAL CHRISTIAN MINISTRIES INETRNATIONAL (GEITA CHURCH) TOGETHER WITH THE OVERSEER  BISHOP ELIAB SENTOZI WHO IS ALSO A PASTOR  AT GILGAL CHRISTIAN MINISTRIES INTERNATIONAL HEADQUARTERS (PASIANSI CHURCH).

 ASKOFU MKUU  ELIAB SENTOZI AMABYE PIA NI MCHUNGAJI WA KANISA LA GILGAL CHRISTIAN MINISTRIES INTERNATIONAL MAKAO MAKUU (PASIANSI CHURCH)/ THE OVERSEER  BISHOP ELIAB SENTOZI WHO IS ALSO A PASTOR  AT GILGAL CHRISTIAN MINISTRIES INTERNATIONAL HEADQUARTERS (PASIANSI CHURCH).

HAWA NI BAADHI YA VIONGOZI WALIOKO NDANI YA KANISA LA GILGAL KINYEREZI DAR-ES-SALAAM/ HERE ARE SOME OF THE LEADERS AT GILGAL KINYERZI CHURCH DAR-ES-SALAAM.

HILI NDILO KANISA LA GILGAL KINYEREZI DAR-ES-SALAAM/ THIS IS THE CHURCH  AT GILGAL  KINYEREZI  DAR-ES-SALAAM

Wednesday, 2 October 2013

KARIBU KATIKA ZIARA YA BISHOP ELIAB SENTOZI NDANI YA KANISA LA GILGAL CHRISTIAN MINISTRIES INTERNATIONAL ARUSHA ,ZIARA ILIYOFANYIKA 24/09/2013 KATIKA KANDA YA DAR-ES-SALAAM/WELCOME TO THE VISITATION OF BISHOP ELIAB SENTOZI AT GILGAL CHRISTIAN MINISTRIES INTERNATIONAL ARUSHA, A VISITATION WHICH STARTED AT DAR-ES-SALAM ZONE STAY BLESSED

MCHUNGAJI  CHARLES TAIKO WA KANISA NYUMA YA MSAFARA ULIOKUWA  NA ASKOFU SENTOZI, KULIA ASKOFU LUKINISHA TOKA KATORO NGARA, WAPILI TOKA KULIA ASKOFU MKUU WA KANISA LA GILGAL CHRISTIAN MINISTRIES INTERNATIONAL  ASKOFU ELIAB SENTOZI MWISHO KABISA  KATIBU MKUU PASTOR HEZROM YORAM/PASTOR CHARLES TAIKO WHO IS THE PASTOR OF GILGAL ARUSHA, RIGHT BISHOP LUKINISHA  FROM KATORO NGARA,SECOND RIGHT IS THE GENERAL OVERSEER BISHOP ELIAB SENTOZI AT THE END  IS THE SECRETARY GENERAL PASTOR HEZROM YORAM

ASKOFU AMOS LUKUMAI  TOKA MWANZA PAMOJA NA  MCHUNGAJI HEZROM YORAM/ BISHOP AMOS  LUKUMAI FROM MWANZA TOGETHER WITH PASTOR HEZROM YORAM

ASKOFU LUKINISHA AMBAYE NIASKOFU MSAIDIZI  KULIA PAMOJA NA ASKOFU MKUU KIONGOZI  ASKOFU ELIAB SENTOZI  KUSHOTO/ BISHOP  LUNIKISHA RIGHT TOGETHER WITH BISHOP  ELIAB SENTOZI (THE GENERAL OVERSEER)

ASKOFU AMOS LUKUMAI  TOKA MWANZA PAMOJA NA  MCHUNGAJI HEZROM YORAM/ BISHOP AMOS  LUKUMAI FROM MWANZA TOGETHER WITH PASTOR HEZROM YORAM

WAUMINI WA KANISA LA GILGAL ARUSHA WAKIYASIKILIZA  MAONO YA BISHOP SENTOZI KWA MAKINI/ CONGREGATION AT ARUSHA CHURCH LISTENING TO THE VISSION OF BISHOP SENTOZI ABOUT THE GILGAL MINISTRIES

ASKOFU SENTOZI PAMOJA NA JOPO LA MAASKOFU WENGINE WAKI FANYA MAOMBI KWA AJILI YA KANISA HILO MKOANI ARUSH/ BISHOP SENTOZI TOGETHER WITH THE TEAM OF THE BISHOPS PRAYING FOR THE CHURCH IN ARUSHA

ASKOFU SENTOZI PAMOJA NA JOPO LA MAASKOFU WENGINE WAKI FANYA MAOMBI KWA AJILI YA KANISA HILO MKOANI ARUSH/ BISHOP SENTOZI TOGETHER WITH THE TEAM OF THE BISHOPS PRAYING FOR THE CHURCH IN ARUSHA

KUNDI LA SIFA NA KUABUDU NDANI YA KANISA LA GILGAL ARUSHA/ THE PRAISE AND WORSHIP TEAM AT GILGAL ARUSHA