Musicians wa kanisa la Gilgal wakisikiliza matangazo
Upako unaendeleaa kwa sanaaa.
Mr Evod Francis akielezea umuhimu wa watu wote kuja kukuesha kama Biblia isemavyo. |
Mama aliponywa na Nguvu za Mungu kutokana na Matatizo aliyokuwa nayo.
Mzee wa Kanisa wa Zamu Mama Ringo akiendesha ibada.
Mungu akitenda kazi kama unavyoona hapa pichani.
Bishop Eliabu Sentoz wa Gilgal Christian International Ministries akiimba katika Roho.
Mussa Josephate akiimba..
Kwaya ya Vijana.
Watu wakisikiliza..
Waliokata shauri au kuokoka..
Gilgal Kwaya wakidance kwa Yesu.
Ni Full Upakoooooo.
Esther Evod akiimba wimbo mzuri sanaa.
Ndivyo ilivyokuwa Jumapili katika ibada ya upako wa ajabu na kuyafanya maisha kuwa mazuri kwa Yesu kama unavyoona hapo katika picha. Tutaendelea kukuletea matukio mbalimbali katika mtandao huuu kila mara.